makundubhyali
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,389
- 886
hizi fedha zilichotwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao na kuandaa makazi ya wakubwa ugaibuni, kwani wana uhakika mwakani CCM watapigwa chini.Ilishasemwa tangu mwanzo...fedha za IPTL zimeibwa laivu...yule singa singa ni tapeli ameshirikiana na matapeli wa ccm
MODS: Nimepandwa na hasira sana kwa uamuzi wako wa kuibadilisha headline ya uzi wangu huu na kuuweka katika KJiingereza. Mimi nilikuwa nimeuweka Kiswahili chini ya heading "IPTL Kumekucha; Wafilisi wa IPTL wamfikisha Kalasinga mahakamani kwa udanganyifu". Ninahisi una ajenda zako za siri (ulterior motive) kuibadilisha heading hii kuwa kwa Kiingereza ili wengi wanaoingia JF wakiiona tu waipite tu kwa kutoelewa kwao Kiingerza.
MODS kwa nini umefanya hivyo? Kalasinga kushitakiwa kwa udanganyifu kuhusu ununuzi wa hisa za IPTL ni ishu kubwa kwani suala hili lilitikisa Bunge, viongozi wakuu walituhumiwa kupewa milungula na hadi Balozi wa Uingereza aliingizwa bila sababu. Unataka Watanzania wengi wasiojua Kiingereza wasijue habari hii, angalau kutokana na heading niliyoweka ambayo sikuona kosa lake? Kwa nini umefanya hivyo?
Tafadhali rudisha heading yangu ya Kiswahili.
Sio za kwake kivipi?zimefikaje kwenye account ya escrow?.hii ni aibu kwa chama changu na serikali yangu nimemjibu mtu hapa cjui kama amenielewa kuwa mwisho wa mkataba IPTL ilitakiwa kuwa mali ya tanesco pia pesa alizopewa singa singa c za kwake cjui kama alinielewa
Sisi tunachotaka umeme,kama wameingizana chaka wao kwa wao,watajiju,madamu generator zipo na zinagenerate umeme na watu wanatumia,na serikali inalipa kwa mjibu wa makubaliano,who care kama singasinga kaitapeli kampuni huko malaysia.
ama ndo tunataka kurudia ujuaji wa dowans..,ooh kampuni ni ya kwenye briskef.
''sawa,lakini generator zipo na zinatoa umeme?''.
''zipo sawa,lakini tumeenda marekani hatukuona ofisi zao''.
''kwani wewe shidako ni ofisi za richmond marekani au unataka umeme?''.
ujuaji kibao matokeo tukalimwa bonge la faini.
HATULIPI.
MTALIPA.
HATULIPI NG'O.
NAKWAMBIA MTALIPA.