Ni kweli ni teknolojia ya apple ndio mwenye hati miliki na uwezo wote,lakini katika biz kuna kuuziana jina na teknolojia ni kitu cha kawaida..prado ni teknolojia ya mwingereza aliiuza kwa mjapani ndio maana ili gari linauzwa bei ndogo uk kuliko japan sasa linaitwa toyota prado,i devices ni tech ya apple lakini sasa ni tech ambayo wawezaiona kwenye kampuni nyingine kama Hp