Ujumbe murua sana huuSiku moja, wanangu watakapokuwa na umri wa kutosha kufahamu kile kinachomsukuma mzazi, nitawaambia....
Niliwapenda kiasi cha kuwasumbua kuhusu mlikokuwa mmeenda, watu mliokuwa nao na saa ngapi mngerudi nyumbani. Niliwapenda vya kutosha kiasi cha kuwa na wasiwasi juu ya afya yenu. Niliwapenda vya kutosha kuchagua kutumia muda wangu kwenu, kwa matumaini kwamba masomo yataleta furaha ya kutimiza ndoto zenu za muda mrefu. Niliwapenda kiasi cha kuwalinda kupita kiasi. Niliwapenda kiasi cha kutotoa visingizio kwa tabia yenu mbaya na ukosefu wa heshima.
Niliwapenda vya kutosha kuchagua kujiweka wa mwisho, kila siku. Niliwapenda vya kutosha kupuuza kile 'kila mzazi mwingine' angefanya. Niliwapenda kiasi cha kuwaondoa watu niliowapenda maishani mwangu ili niweze kuwalinda ninyi
Niliwapenda kiasi cha kukuruhusu kujikwaa, kushindwa na kuanguka, ili mjifunze kusimama peke yenu. Lakini zaidi ya yote, niliwapenda kiasi cha kukuhatarisha kunichukia kwa maamuzi niliyoyafanya nikitumaini kwamba nilikuwa nafanya kilicho bora kwenu, na hiyo ndiyo ilikuwa sehemu ngumu kuliko zote.
Niliwapenda kwa moyo wangu Wote, kwa nguvu zangu zote kwa kila jema na kwa kila kitu.. Zaidi ya yote niliwapenda kama sehemu ya uhai, gurkha na tumaini langu[emoji419][emoji375][emoji173]View attachment 2838434
Sent using Jamii Forums mobile app
Gurkha ni nini?Siku moja, wanangu watakapokuwa na umri wa kutosha kufahamu kile kinachomsukuma mzazi, nitawaambia....

Mama yetu katupenda kiasi cha kuzikabidhi bandari zetu kwa mjomba.Siku moja, wanangu watakapokuwa na umri wa kutosha kufahamu kile kinachomsukuma mzazi, nitawaambia....
Niliwapenda kiasi cha kuwasumbua kuhusu mlikokuwa mmeenda, watu mliokuwa nao na saa ngapi mngerudi nyumbani. Niliwapenda vya kutosha kiasi cha kuwa na wasiwasi juu ya afya yenu. Niliwapenda vya kutosha kuchagua kutumia muda wangu kwenu, kwa matumaini kwamba masomo yataleta furaha ya kutimiza ndoto zenu za muda mrefu. Niliwapenda kiasi cha kuwalinda kupita kiasi. Niliwapenda kiasi cha kutotoa visingizio kwa tabia yenu mbaya na ukosefu wa heshima.
Niliwapenda vya kutosha kuchagua kujiweka wa mwisho, kila siku. Niliwapenda vya kutosha kupuuza kile 'kila mzazi mwingine' angefanya. Niliwapenda kiasi cha kuwaondoa watu niliowapenda maishani mwangu ili niweze kuwalinda ninyi
Niliwapenda kiasi cha kukuruhusu kujikwaa, kushindwa na kuanguka, ili mjifunze kusimama peke yenu. Lakini zaidi ya yote, niliwapenda kiasi cha kukuhatarisha kunichukia kwa maamuzi niliyoyafanya nikitumaini kwamba nilikuwa nafanya kilicho bora kwenu, na hiyo ndiyo ilikuwa sehemu ngumu kuliko zote.
Niliwapenda kwa moyo wangu Wote, kwa nguvu zangu zote kwa kila jema na kwa kila kitu.. Zaidi ya yote niliwapenda kama sehemu ya uhai, gurkha na tumaini langu[emoji419][emoji375][emoji173]View attachment 2838434
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo sio upendo na yeye si mzazi wetuMama yetu katupenda kiasi cha kuzikabidhi bandari zetu kwa mjomba.
Mkuu asante kwa Bandiko lenye Upendo ndani yake.
WANAO WATAKUSHUKURU NA KUKUPENDA MARADUFU.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Utatangulia utaniacha nadunda [emoji23][emoji1787][emoji1544][emoji1550]
[emoji1][emoji1][emoji1]Utatangulia utaniacha nadunda [emoji23][emoji1787][emoji1544][emoji1550]View attachment 2838537
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya hao watoto kuna ambaye anafaa kubeba mikoba tusipoteze huduma huko baadaye.
Na badoo hamjasemaaaa! πππππΏββοΈππΏββοΈMama yetu katupenda kiasi cha kuzikabidhi bandari zetu kwa mjomba.
Hahahahaha[emoji23]Kati ya hao watoto kuna ambaye anafaa kubeba mikoba tusipoteze huduma huko baadaye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakifika kwa tanesco unishtue mkuu.
Shukrani Mshana Jr, ujumbe wako pamoja na kuwa unaonekana kulenga "wanangu", kimsingi unatuhusu sote sisi (sote tuna wazazi). Ujumbe huu na uwe pamoja nasi J'pili hiiSiku moja, wanangu watakapokuwa na umri wa kutosha kufahamu kile kinachomsukuma mzazi, nitawaambia....
Niliwapenda kiasi cha kuwasumbua kuhusu mlikokuwa mmeenda, watu mliokuwa nao na saa ngapi mngerudi nyumbani. Niliwapenda vya kutosha kiasi cha kuwa na wasiwasi juu ya afya yenu. Niliwapenda vya kutosha kuchagua kutumia muda wangu kwenu, kwa matumaini kwamba masomo yataleta furaha ya kutimiza ndoto zenu za muda mrefu. Niliwapenda kiasi cha kuwalinda kupita kiasi. Niliwapenda kiasi cha kutotoa visingizio kwa tabia yenu mbaya na ukosefu wa heshima.
Niliwapenda vya kutosha kuchagua kujiweka wa mwisho, kila siku. Niliwapenda vya kutosha kupuuza kile 'kila mzazi mwingine' angefanya. Niliwapenda kiasi cha kuwaondoa watu niliowapenda maishani mwangu ili niweze kuwalinda ninyi
Niliwapenda kiasi cha kuwaruhusu kujikwaa, kushindwa na kuanguka, ili mjifunze kusimama peke yenu. Lakini zaidi ya yote, niliwapenda kiasi cha kukuhatarisha kunichukia kwa maamuzi niliyoyafanya nikitumaini kwamba nilikuwa nafanya kilicho bora kwenu, na hiyo ndiyo ilikuwa sehemu ngumu kuliko zote.
Niliwapenda kwa moyo wangu Wote, kwa nguvu zangu zote kwa kila jema na kwa kila kitu.. Zaidi ya yote niliwapenda kama sehemu ya uhai, furaha na tumaini langu[emoji419][emoji375][emoji173]View attachment 2838434
Sent using Jamii Forums mobile app