Ipo Nyumba ya kupanga suvey mwenge

Ipo Nyumba ya kupanga suvey mwenge

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Habari. Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nyumba ipo maeneo ya survey mwenge dakika mbili kwa mguu tokea mlimani city. Sifa za nyumba ni; nyumba kubwa yenye sebule kubwa na vyumba viwili. Chumba kimoja ni master, store tiles na public toilet ina sehemu ya jiko pia. Maji yapo masaa 24. Haina uzio ila gari linafika mpaka mlangoni kwako.Bei ni 300,000/- kwa mwezi na nahitaji kodi ya mwaka mzima. Hakuna dalali hapa. Kwa anayeihitaji tafadhali Pm.
 
Weka picha mkuu
 
Dk 2 toka mlimani city getini au sema in terms of kms tuelewe maana u sound like dalali
 
Natafuta nyumba ya kupanga yenye chumba kimoja, sebule,jiko, choo self contained maeneo ya mikocheni, victoria, kijitonyama au sinza mwenge survey. Tsh 150,000 -200,000. Iwe imezungushiwa ukuta na iwe na parking. Sijali ipo peke yake au upande mmoja (apartment) kuanzia desemba au.januari
 
Nimeliona tangazoo la hiyo nyumba ya survey lakini haina uzio hivyo sintaweza kupaki gari na Pili bei ipo juu k
 
Hata hivyo ilishachukulowa siku nyingi sana hyo bei ni rahis sana kwa huku kk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom