Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 366
- 1,378
Uliipenda lakini??Bwana bwana nililetewa hiyo Hanson choice nikajua ni pombe ya gharama..
Siku nimeenda Ulizia dukani Kumbe ni 3500
Uliipenda lakini??
Unyama sana huu.
Hennessy mwituBwana bwana nililetewa hiyo Hanson choice nikajua ni pombe ya gharama..
Siku nimeenda Ulizia dukani Kumbe ni 3500
Bwana bwana nililetewa hiyo Hanson choice nikajua ni pombe ya gharama..
Siku nimeenda Ulizia dukani Kumbe ni 3500
Mkuu DeepPond binafsi ile pombe sijawahi ionja na sitaki kuonja haya mapombe mapya mmmh! Bora ninywe konyagi tangu nazaliwa naikuta na nimeinywa sanaaaaKuna kipind karibu iniumbue kile kifuniko chake cha juu kiko Kama chujio