simu yenye camera kali ni ile yenye sensor kali,sio pixel nyingi,ukikutana na yenye sensor kali na pixel nyingi,hapo utakutana na akina s21 ultra nk.
so far,humo kwenye pixel utafaudi zoom tu,bila kuchafua picha,hapa ungetaja model ya simu zako hizo watu wakuelekeze kitu cha moja kwa moja,maana no 2 inawezakuwa na camera nzuri kwa sababu tu ni huawei labda nk.