Angalia unayoipenda moyoni usifate yenye hela nyingi. Kama hutopata unayopenda hiyo hela ya ada fungua biashara au wakati unasoma angalia tena biasharaya kufungua. Maana nimesoma mpaka master kufata mkumbu wa wazazi na marafiki na ndugu vyeti vipokabatini nameanza kufanya navyopenda nimeanza kupata mwanga.kuna bro aliniambiaga maneno kama haya nika bushit na kumponda kimoyomoyo nikikutana nae nampa respect ya kutosha mpaka anashangaa