kingine mkuu katika biashara kuna mambo matatu ambayo kabla hujaanza biashara yko inabidi ujiulize
-focus
-cost leadership
-differention
focus n zile sim zenye soko sehem fulan kama tecno wamefocus Africa
cost leadership nao tecno tena cheap production cheap uuzaji wa bidhaa zao
differention hao ndo i phone haijalish katika mazingira gan bei haishuk hapa brand inamata zaidi mfano mdogo maji ya kilimanjaro tanzania ni maji tu lkn ndo yanabei kubwa hyo n brand
Kusema iPhone inauzwa bei kubwa kuliko android phone hapa umesema uongo, simu zote ambazo ni high end karibia zina bei sawa mfano mzuri kaulizie bei ya iPhone 7 halafu urudi kwenye bei ya samsung galaxy s8 ndo utajua kuwa ulichokisema sio kweliHivi iphone kwanini zinauzwa bei kubwa sana huwezi linganisha na simu za android kipi utakacho kifanya kwenye simu ya Iphone kisicho kuwepo kwenye simu za androd kama ni mawasiliano yaleyale mm sioni kilicho zidi kwenye simu za iphone wwe pia waweza ongea kipi kisicho patikana kwenye androd na Iphone kipo
Kama ulishawahi tumia izo simu utajua uthamani wake, ni sawa na mtu kuvaa nguo ya mtumba mwingine abae ya special(bei ghali) halafu uulize ni yupo yuko uchi wakati wote wamevaa.Hivi iphone kwanini zinauzwa bei kubwa sana huwezi linganisha na simu za android kipi utakacho kifanya kwenye simu ya Iphone kisicho kuwepo kwenye simu za androd kama ni mawasiliano yaleyale mm sioni kilicho zidi kwenye simu za iphone wwe pia waweza ongea kipi kisicho patikana kwenye androd na Iphone kipo
Daah humu ndani thread zote we ni wa mwisho kureply mpk kukuche nahs utakua umemaliza kukoment zoteKama ulishawahi tumia izo simu utajua uthamani wake, ni sawa na mtu kuvaa nguo ya mtumba mwingine abae ya special(bei ghali) halafu uulize ni yupo yuko uchi wakati wote wamevaa.
[emoji3][emoji3]nilitamani nisiriplei ili wewe ndo uwe wa mwishoDaah humu ndani thread zote we ni wa mwisho kureply mpk kukuche nahs utakua umemaliza kukoment zote
Na Mimi nime replay ili kukuokoa Mkuu usiwe wa mwisho sasa Uko reply tu saiz utakua wa mwisho kweli[emoji1] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji3][emoji3]nilitamani nisiriplei ili wewe ndo uwe wa mwisho
..... unajua kama iphone 6 haivunjik kioo Hata ikikudondoka kuanzia floo ya tatu? Kosea kuitia mfukon android yako ikudondoke halaf ndo utajua umuhim wa iphone.