Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,007
- 306
Waache na mm ctahusika kuchangia uzizi wowote uleIna maana hakuna wachangiaji humu
Security kubwaHivi iphone kwanini zinauzwa bei kubwa sana huwezi linganisha na simu za android kipi utakacho kifanya kwenye simu ya Iphone kisicho kuwepo kwenye simu za androd kama ni mawasiliano yaleyale mm sioni kilicho zidi kwenye simu za iphone wwe pia waweza ongea kipi kisicho patikana kwenye androd na Iphone kipo
Ndio nini hiyo??ntaendea kumilikia Os
Na ww kama unajuaa changia basi wiliam
Hakuna kingine zaidi ya kuwa na securty kubwaSecurity kubwa
Hivi iphone kwanini zinauzwa bei kubwa sana huwezi linganisha na simu za android kipi utakacho kifanya kwenye simu ya Iphone kisicho kuwepo kwenye simu za androd kama ni mawasiliano yaleyale mm sioni kilicho zidi kwenye simu za iphone wwe pia waweza ongea kipi kisicho patikana kwenye androd na Iphone kipo
Mm mtu wa kawaida na ninatumia iPhoneMkuu unakua maana ya bland!? Kwa kifupu ni kwamba unapoanza kitu chochote cha kwanza tengeneza jina(brand) alafu pesa inakuja kufata
IPhone wametengeza jina na katika simu zote unazozijua iPhone ina bland kubwa zaidi kwaio saizi wanauza jina hata kwa ubora wa simu zao pia iPhone unafananishaje na tecno Mkuu acha dharau basi alafu iPhone ina status ya juu hata watu wanaoitumia wana status kidogo huwezi kukuta mtu wa kawaida anatumia iPhone ndio mana zinakua bei juu hebu jiulize kwani nyanya za gengeni na nyanya za supermarket tofauti yake ni nini?
Nmekuelewa mkuuuMkuu unakua maana ya bland!? Kwa kifupu ni kwamba unapoanza kitu chochote cha kwanza tengeneza jina(brand) alafu pesa inakuja kufata
IPhone wametengeza jina na katika simu zote unazozijua iPhone ina bland kubwa zaidi kwaio saizi wanauza jina hata kwa ubora wa simu zao pia iPhone unafananishaje na tecno Mkuu acha dharau basi alafu iPhone ina status ya juu hata watu wanaoitumia wana status kidogo huwezi kukuta mtu wa kawaida anatumia iPhone ndio mana zinakua bei juu hebu jiulize kwani nyanya za gengeni na nyanya za supermarket tofauti yake ni nini?
Hivi iphone kwanini zinauzwa bei kubwa sana huwezi linganisha na simu za android kipi utakacho kifanya kwenye simu ya Iphone kisicho kuwepo kwenye simu za androd kama ni mawasiliano yaleyale mm sioni kilicho zidi kwenye simu za iphone wwe pia waweza ongea kipi kisicho patikana kwenye androd na Iphone kipo
Mm mtu wa kawaida na ninatumia iPhone