INAUZWA Iphone X inauzwa

INAUZWA Iphone X inauzwa

Vine94

Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
38
Reaction score
22
habari wandugu, nauza simu aina ya iphone X, imetumika kwa miezi mitano tu.

Ina uwezo wa gb 256,
Face Lock
True tone

Kwa mwenye uhitaji wa simu hii bei ni 800,000 tu.

Napatikana ubungo, namba ni 0744575261.

Karibu.

IMG_0349.jpg

IMG_0350.jpg
 
inakuwaje imetumika miezi mi 5 then battery inakuwa 84%
 
mimi sio mtaaalamu na iphone ndo maana nimeuliza inakuwaje betrry inakuwa 80%
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom