Mayu JF-Expert Member Joined May 11, 2010 Posts 8,691 Reaction score 14,379 Sep 12, 2014 #1 Wakuu hebu tupeane maujuzi na maujanja mbalimbali kwa watumiaji wa iphone, ipad na ipod Apps gani unadhani ni muhimu kuwa nazo? Tweaks gani ni muhimu na Tricks gani muhimu.
Wakuu hebu tupeane maujuzi na maujanja mbalimbali kwa watumiaji wa iphone, ipad na ipod Apps gani unadhani ni muhimu kuwa nazo? Tweaks gani ni muhimu na Tricks gani muhimu.