iPhone tips : Kubadili Rangi Simu

mzenjiboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
907
Reaction score
387
Unaweza kubadili mtazamo (appearance) wa iPhone yako kwa kubadili rangi kama utapenda.

Nenda Settings kisha General, kwenye General tafuta Accessibility.

Hapo penye Accessibility pana Invert Colours ambayo kama iko OFF unatakiwa uiweke ON Ili iwezeshe iPhone yako kubadilika rangi.

Baada ya kuweka ON utaona mabadiliko ya rangi kwenye iPhone yako, na kwa kuondoa rangi ili iPhone yako irudi kama ilivyokuwa unaweka OFF.

Enjoy your iPhone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…