Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
DuuhView attachment 3350673
Toleo jipya la iOS 26 inaweza kuja na feature mpya ambayo inatumia Teknolojia ya Apple intelligence yenye kukuonyesha ni asilmia ngapi imebaki kwenye Simu yako ukiwa umechomeka chaji ili kujaa.
Ni feature ya kawaida ila inasaidia sana kujua ni kwa muda gani inachukua kuweza kujaa full lwa kuonyesha ni asilmia ngapi zimebaki. Feature hii ilibidi ianze kupatikana kwenye ios 19 lakini apple wataweza kuruka na kutoa iOS 26 badala ya ios 19.
Japo feature hii sio ngeni kwenye simu zinazotumia mfumo wa android kama vile Samsung, Infinix, Oppo, OnePlus, Vivo, Tecno nk.
Unawaambiaje Watumiaji wa simu za iphone!!!
Ukitaka kujua mambo ya watu wa iPhone waulize watumiaji wa android - Steven MengeleView attachment 3350673
Toleo jipya la iOS 26 inaweza kuja na feature mpya ambayo inatumia Teknolojia ya Apple intelligence yenye kukuonyesha ni asilmia ngapi imebaki kwenye Simu yako ukiwa umechomeka chaji ili kujaa.
Ni feature ya kawaida ila inasaidia sana kujua ni kwa muda gani inachukua kuweza kujaa full lwa kuonyesha ni asilmia ngapi zimebaki. Feature hii ilibidi ianze kupatikana kwenye ios 19 lakini apple wataweza kuruka na kutoa iOS 26 badala ya ios 19.
Japo feature hii sio ngeni kwenye simu zinazotumia mfumo wa android kama vile Samsung, Infinix, Oppo, OnePlus, Vivo, Tecno nk.
Unawaambiaje Watumiaji wa simu za iphone!!! ๐๐
Mimi sina i phone lakini ni simu bora sana kuliko simu yoyote, ogopa kitu kutoka USAView attachment 3350673
Toleo jipya la iOS 26 inaweza kuja na feature mpya ambayo inatumia Teknolojia ya Apple intelligence yenye kukuonyesha ni asilmia ngapi imebaki kwenye Simu yako ukiwa umechomeka chaji ili kujaa.
Ni feature ya kawaida ila inasaidia sana kujua ni kwa muda gani inachukua kuweza kujaa full lwa kuonyesha ni asilmia ngapi zimebaki. Feature hii ilibidi ianze kupatikana kwenye ios 19 lakini apple wataweza kuruka na kutoa iOS 26 badala ya ios 19.
Japo feature hii sio ngeni kwenye simu zinazotumia mfumo wa android kama vile Samsung, Infinix, Oppo, OnePlus, Vivo, Tecno nk.
Unawaambiaje Watumiaji wa simu za iphone!!! ๐๐
Ndo tumeaminishwa hivyo tech yoyote kutoka usa .. ni ya maana kumbel amna kitu tukija kwenye field unakuta ni sufuri labda waarab ndo watadanganywaMimi sina i phone lakini ni simu bora sana kuliko simu yoyote, ogopa kitu kutoka USA
Na ukianza kuichaji iphone lazima ijiwashe,walikosa teknolojia ya kuzuia hilo, mi zilinishinda nikaachana nazo!IPhone na mkoa wa DAR hakuna utofauti, kila nikijitahidi kuipenda lakini wapi ๐๐.
Unachaji simu ili uizime au unachaji ili iwake? Kwenye hilo nawapa kongole. Hata kama ni kibaka kakwapua simu inakuwa rahisi kuitrack.Na ukianza kuichaji iphone lazima ijiwashe,walikosa teknolojia ya kuzuia hilo, mi zilinishinda nikaachana nazo!
Huwa nawauliza wapenzi watumiaji kuwa: 'ni nini cha mno ndani ya iphone kuizidi Android?'
Huwa sipati jibu la kukidhi kama kama ambavyo Ccm imekosa jibu kuhusu hoja ya Gwajiboy!
Tumetofautiana pakubwa hasa kwenye privacy!Unachaji simu ili uizime au unachaji ili iwake? Kwenye hilo nawapa kongole. Hata kama ni kibaka kakwapua simu inakuwa rahisi kuitrack.
NB MIMI SIO MUUMINI WA IPHONES
zinatengenezwa china mkuu. usa wao wanaandaa design halafu manufacturing inafanyika china.Mimi sina i phone lakini ni simu bora sana kuliko simu yoyote, ogopa kitu kutoka USA
. Siafu aking'ata kwenye mb.up.u ukiwa kwenye umati lazima utulie bila kujikuna zaidi utaishia kujitingisha tingisha mwili( gwajiboy ni bonge la Siafu)Na ukianza kuichaji iphone lazima ijiwashe,walikosa teknolojia ya kuzuia hilo, mi zilinishinda nikaachana nazo!
Huwa nawauliza wapenzi watumiaji kuwa: 'ni nini cha mno ndani ya iphone kuizidi Android?'
Huwa sipati jibu la kukidhi kama kama ambavyo Ccm imekosa jibu kuhusu hoja ya Gwajiboy!
I phone ni simu nzuri sanaa, ni vile tu huna pesa za kuinunua ndio maana una hasira nazo. We komaa na androids mkuu, uwe una download buree๐๐๐Ndo tumeaminishwa hivyo tech yoyote kutoka usa .. ni ya maana kumbel amna kitu tukija kwenye field unakuta ni sufuri labda waarab ndo watadanganywa