toka ainunue yeyeUkisema imetumika 3 month una maanisha nini?..Toka apple waitengeneze au?
Haujapigwa makeup itakuwa...Huo mkono mbona kama wa kiume halafu umepakwa rangi kucha?
Uko wapi nina 250+ naona km ni shabiki wa wananchi. Uko hapo Kariakoo!
kama hiyo nataka 250k kaka.!Mkoa gani?Nipo Mkoani nina iphonekama hiyo nataka 250k kaka.!
fungua uzi wako mkuu acha kuharibu nyuzi za watuNipo Mkoani nina iphonekama hiyo nataka 250k kaka.!
fungua uzi wako mkuu acha kuharibu nyuzi za watu