baghozed hili ni tatizo dogo tu. Utaweza kulisolve ndani ya dk 20 ukifuata hizi hatua. Angalizo kwanza. Usiupdate iPhone yako kama ipo JailBroken, wala usiirestore ukifanya hivyo ndo unapata hayo matatizo.HABARI,
Nilijaribu ku uprade iOS 4.1 to 4.2 ya iphone 3G lakini iligoma njiani,baada ya hapo imekaa kwenye recovery mode(kwa screen inaonyesha connect to itunes) nimejaribu ku i restore pia inaishia njiani na kuniandikia error 1015,
nimejaribu baadhi ya njia kwa kupitia mtandao lakini naona zinanishinda.
NAOMBENI MSAADA WENU WANA JF aidha kuirudisha katika hali ya mwanzo au hata kui upgrade kama itawezekana.
nimejaribu kuingia kwenye DFU mode lakini inagoma,naweza pata msaada zaidi
Finally nimeweza kuingia kwa dfu mode lakini kwenye process bado iliishia njiani na kuniandikia error 1015,au hasa nawezaje pata custom firmware sahihi iliyokuwepo mwanzo ambayo ni 4.1??unabenyeza Power na Home button kwa pamoja kwa sekunde 10 halafu unaachia Power button lakini endelea kubonyeza Home botton kwa sekunde nyingine saba mpaka 10 itaingia kwenye DFU mode. Kama ikishindikana download hyo software inaitwa iReb itakupa maelekezo step by step kwa kutumia animated picture.
Finally nimeweza kuingia kwa dfu mode lakini kwenye process bado iliishia njiani na kuniandikia error 1015,au hasa nawezaje pata custom firmware sahihi iliyokuwepo mwanzo ambayo ni 4.1??
hata ukiweka 4.1 bado utapata error 1015. Hii error inatokea pale iphone BB(Baseband) inapotaka kuwa replaced kwa iPad BB. Cha msingi ni KUTENGENEZA CUSTOME FIRMWARE either kwa kutumia 4.1 au 4.2. Hii custom firmware unaitengeneza kwa kutumia sn0wbreez then itatengenezwa ambayo sasa utaitumia kwenye iTunes na haitaleta error 1015. Ukishindwa kabisa ntafute ntakusaidia BUREE
Sahihi mkuu, kama hana wireless anaweza kutumia iDisk na kukopi hilo files manually then ana restart mara mbili inakuwa unlocked!your Iphone is still locked, so jailbreak it, then use wireless network to unlock it through ultrasn0w, ukishindwa call leon 0715353108
Sahihi mkuu, kama hana wireless anaweza kutumia iDisk na kukopi hilo files manually then ana restart mara mbili inakuwa unlocked!
Thanks alot wadau finally nimefanikiwa ku unlock dah,yani am happy man na bahati nzuri nili backup everthing katika itunes so kila kitu ninacho,safi sana JF Amoeba and Leon thanks man.hiyo processya kutumia iDisk inafanyika na sim card iko ndani au naitoa??na unapozima simu itajiwasha yenyewe ??
Poa mkuuThanks alot wadau finally nimefanikiwa ku unlock dah,yani am happy man na bahati nzuri nili backup everthing katika itunes so kila kitu ninacho,safi sana JF Amoeba and Leon thanks man.