mkubwa hiyo 55,000/= ni kwaajili ya iPhone zilizofungwa na At&t tu au ni carrier yeyote including "Verizon, Sprint, Orange etc...????Wakuu nafanya online factory unlock kwa iphone zooote kwa bei rahisi compared na zile za wahindi wa posta. 100% refund kama kutakua na matatizo.
Wasiliana nami kwa:
0655003510 au baraka607@gmail.com
Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
mkubwa hiyo 55,000/= ni kwaajili ya iPhone zilizofungwa na At&t tu au ni carrier yeyote including "Verizon, Sprint, Orange etc...????
unapatikana wapi kaka nipo na iphone 4 yangu imepigwa pini toka uk
mkuu factory unlock ufanyika kiwandani na mtengenezaji wa bidhaa wewe unalofanya ni non-factory unlock
Usiongee kitu usichojua maana yake' unajua maana ya factory unlock ww? Ngoja nikusaidie, factory unlock ni kwamba utaweza kureceive updates toka kwa manufacturer na bila kuvoid warrant ya simu yako. Non-factory huwezi pata updates toka kwa manufacturer. Kwahiyo kama ulikua hujui sasa unajua.
Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
Inawezekana kweli I was wrong about that mkuu kwakuwa I thought it this way
Factory unlocked means the iPhone
is legitimately unlocked by Apple. Non-factory
unlocked means iPhone was originally locked
when purchased, but was later unlocked using
hacking technique. Non-factory unlocks are
usually less stable and would be re-locked when upgrading the firmware.
mkuu factory unlock hata ui update firmware yake mara ngapi itabaki unlocked jambo ambalo ni non-factory unlocked by using softwares na hacking techniques.
If I am wrong I stand to be corrected.
Mimi situmii software yoyote na ndo mana kabla sijaunlock simu yako ni lazima nisubmit IMEI namba ya mteja kwa apple wenyewe kuverify kama simu haina issue yoyote kama kuibiwa na vitu kama hivyo. Na wanaoproccess hizo unlock ni apple wenyewe. Lkn sikulazimishi kukubaliana na mm ila ukweli uko ivo na hii kazi sijaanza leo wala jana boss. Nnavokwambia factory unlock unareceive updates inamaana kwamba hata ukiupdate firmware mfano kutoka iOs 5.1.1 to iOs 6.0.1 bado simu yako itakua unlocked ila kama ilikua ni non-factory unlocked ukiupdate firmware simu itajifunga tena.
Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk