Sun Wukong
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 1,152
- 2,299
hivi hakuna software amabayo inaweza kucler cell zote za data ili kuondoa every thingHazitokagi hizo hasa kama umeupdate maana yake umefunga yale mapengo ya version ya zamani ya iOS.
hao mafundi hawapo humu?Nenda Kariakoo kuna watabe wanaifumua
Hahah shida sio kurudisha shida ni pesa itarudiRudisha simu ya wizi hiyo.
Kwa ujumla hakuna, karibia software au service zote utakazoziona online za kuondoa icloud lock ni wizi tu utalipa lakini haitoi chochote. Apple wamekazana sana hii kitu isiweze kutolewa.hivi hakuna software amabayo inaweza kucler cell zote za data ili kuondoa every thing
Kipindi na nanunua ilikuwa tayari inashakuwa unlocked so usiwe isheep kiulinzi ipo poa lakini sio kwamba huwezi kubypassKwa ujumla hakuna, karibia software au service zote utakazoziona online za kuondoa icloud lock ni wizi tu utalipa lakini haitoi chochote. Apple wamekazana sana hii kitu isiweze kutolewa.
Nashangaa wanasema Kariakoo inawezekana nadhani labda wana uzoefu na Android, iPhone ni tofauti, anyway kama hakuna malipo bila mafanikio unaweza kujaribu KKoo.
Kunatool inaitwa broque ramdisk ni freeMkuu we ulitumia software gani ku unlock..
Duh nikajua kuna mwamba anaweza share it for freeKuna software ila mpk ununue so km wadau walivyosema nenda kkoo ila usiende kwa wale wa vibarazani ingia ndani kabisa wanazo ila ujiandae salio