Used, ila ipo ktk hali nzuri sanaHiyo ni used au new!!?
Hapana mkuu, uko chini saaaanaChukua laki 3
Njoo uthibitishe ikiwa feki nakuachia bureeeeFake
Ongeza 60k hutojutia mkuu. Nakukaribisha Chuo Kikuu cha DSM kesho uje ucheki mzigo halafu mwenyewe uendelee kujipanga400k
Fanya 460k350k cash
Ha ha haa!China kaza baba mpaka zifike laki 2