Nimetumia Samsung galaxy s6 kwa miaka mingi, na kiukweli nakushauri uchukue iPhone 6, na sababu kubwa ni iOS 13. Galaxy s6 ni nzuri (especially screen yake) lakini haina update yoyote ipo kwenye Android 7, pia battery life yake ni mbaya; sasa kama hiyo ni used unaweza kiutupa because utakuwa kwenye charger muda mwingi sana. Mawazo yangu tu.