Bei mbili mbili zipi mkuu...hiyo ni iphone 5s ile nyingine niliyopost ni iphone 5...imetumika kizungu means bado ni mpya na haina tatizo lolote kama unaihitaji unaletewa unaiangalia na kukagua kla ktu had utakaporidhia usiporidhia tunasema tumeshndwa kuafikiana...sio mbabaishaji na kama upo serious tunaonana tunafanya biashara thats all
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.