Goodluckmkali
Member
- Nov 16, 2018
- 9
- 1
Nauza iphone 5c mpya 16GB full boxed with all accessories bei ni Tsh.300,000/= tu
Kwa mawasiliano 0767923176
Karibu tufanye biashara
Kwa mawasiliano 0767923176
Karibu tufanye biashara
Ina maana zote zilizotengenezwa kipindi hicho zote ziliisha madukani?Iphone 5c mpya sasa hivi zinatoka wapi ?
Au kampuni inaendelea kutoa matoleo ya zamani
Kumbuka ni za mwaka 2013 miaka 6 iliyopitaIna maana zote zilizotengenezwa kipindi hicho zote ziliisha madukani?
Ni sawa ila bado zipo nyingi tu madukamiKumbuka ni za mwaka 2013 miaka 6 iliyopita
Mbeya naipataje?Ni sawa ila bado zipo nyingi tu madukami
Japo ni ya zamani lakini bei yake 350,000!!!unapata tecno kama tatu, bora utafute tecno