F Freeman Patrick Senior Member Joined Jul 10, 2012 Posts 132 Reaction score 13 Aug 2, 2013 #1 Naomba kufahamu bei halisi ya iPhone 4s 16GB ..... Msaada tafadahili...
stata mzuka JF-Expert Member Joined Nov 25, 2012 Posts 4,834 Reaction score 1,765 Aug 2, 2013 #2 Mkononi 650 lakini ni mpya kabisa haijatumika ndo bei yake,,kama unataka niPM
F Freeman Patrick Senior Member Joined Jul 10, 2012 Posts 132 Reaction score 13 Aug 2, 2013 Thread starter #3 Mkuu nauliza bei ya dukani ikiwa brand new....
P Precise Pangolin JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 13,055 Reaction score 6,777 Aug 2, 2013 #4 stata mzuka said: Mkononi 650 lakini ni mpya kabisa haijatumika ndo bei yake,,kama unataka niPM Click to expand... Freeman Patrick said: Mkuu nauliza bei ya dukani ikiwa brand new.... Click to expand... Umeshaambiwa mpya kabisa 650 sasa bado unaulizia brand new kama vipi nenda California makao makuu ya Apple
stata mzuka said: Mkononi 650 lakini ni mpya kabisa haijatumika ndo bei yake,,kama unataka niPM Click to expand... Freeman Patrick said: Mkuu nauliza bei ya dukani ikiwa brand new.... Click to expand... Umeshaambiwa mpya kabisa 650 sasa bado unaulizia brand new kama vipi nenda California makao makuu ya Apple
F Freeman Patrick Senior Member Joined Jul 10, 2012 Posts 132 Reaction score 13 Aug 2, 2013 Thread starter #5 We km hujaelewa huna haja ya kujibu, "hata mjinga akikaakimnya anaonekana anabusara" bora ukae kimnya.....
We km hujaelewa huna haja ya kujibu, "hata mjinga akikaakimnya anaonekana anabusara" bora ukae kimnya.....