jaman nashindwa kuunganisha net nimeenda had ofisi za makampun ya cm hapa MORO tatizo limeshindikana,nilijalibu kuhamisha vtu toka kwenye pc vinaingia kama file mfano miziki,inaonesha free space ktk phone memory ni 64gb lkn ukichomeka kwa pc inaonesha 4gb.nni uvumbuz wa hayo yote?
hiyo ni clone! hata ukifanikiwa hizo settings za internet utakuwa unatumia internet kwa shida sana. original iphones maranyingi hazihitaji settings ni kuchomeka line yenye bundle au vocha na kutumia, otherwise kwenye apn ukiandika 'internet' basi umemaliza swala la settings. hiyo capacity ya 64GB umeona wapi? nyuma ya cover au ndani kwenye settings? kama kwenye cover la nyuma basi hiyo ni fake sababu original 4,4s,5,5s na 5c haziandikwi capacity kwa nyuma. na huwezi kuweka mziki kwenye iphone bila kupitia itunes au 3rd party supported softawares kwasababu iphone hazina inbuilt file manager so lazima kila kitu kiingie kwa itunes ili kiwe organised,,jaman nashindwa kuunganisha net nimeenda had ofisi za makampun ya cm hapa MORO tatizo limeshindikana,nilijalibu kuhamisha vtu toka kwenye pc vinaingia kama file mfano miziki,inaonesha free space ktk phone memory ni 64gb lkn ukichomeka kwa pc inaonesha 4gb.nni uvumbuz wa hayo yote?
threat detected.. Mchina.. risk;High