Funga program ya itunes kwenye PC yako ndio ya kuwekea miziki kwenye simu zote za iphone pamoja na ipod,kwa hapa bongo zinauzwa kuanzia dola 1000 mlimani city.