Madam zero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 221
- 18
iphone 4 kwa laki tisa!!!!! teh teh teh teh tehHeloo,nauza simu tajwa hapo juu ,,kwa anaeihitaji aniambie ,iphone 4 white ni simu iliyotumika one wiki yaani ni kama mpya kabisaa,,
Iphone 4( laki 9 bei itapungua) and blackberry n laki tatu(bei haipungui)
iphone 4 kwa laki tisa!!!!! teh teh teh teh teh
iphone 4s mpya dukani laki 8, sembuse hiyo iphone 4! tena used
iphone 4s mpya dukani laki 8, sembuse hiyo iphone 4! tena used
Ndomana ukaambiwa bei inapungua and sio lazima ununue ww waachie wenye nazooooo wanatiririka tuuu
Wenye nazo wanatiririka wapi? Usiwe mbishi ndugu bei ya simu dukani kwenye box hadi laki 7 unapata sasa kwanini mtu aje akupe laki 9 wewe ambaye hata sijui kwanini unauza?
i phone 5 mliman city ni laki tisa na nusu ww unauza iphone 4 laki tisa duuuu we noma hahaha
Kweli we zeroooo
Heloo,nauza simu tajwa hapo juu ,,kwa anaeihitaji aniambie ,iphone 4 white ni simu iliyotumika one wiki yaani ni kama mpya kabisaa,,
Iphone 4( laki 9 bei itapungua) and blackberry n laki tatu(bei haipungui)
iphone 4 used ni laki 350 mpaka laki 300..we subiri subiri utaiuza laki 2 hyoo