iphone 4 3d

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
627
Reaction score
1,153
Natumai wakuu wote mu wazima,
Nina simu ya iphone 4 nimejaribu kupekuwa lakini sijaona kama ina function ya 3d japokuwa picha zake za video na screen saver zinaonekana vizuri, sasa nauliza hivi je naweza kuinstall hiyo 3d programme kutoka kwenye itune na vp naweza iweka kwenye simu yangu?

Kuna simu hii ya iphone 4s iliyo na programme ya siri, je naweza kuinstall hiyo programme kwenye simu yangu ya iphone 4,

Shukrani
 
sijasikia apple wakisaport 3d kwenye software na hardware, hiko hakitatokea kwenye iphone 4 wala 4s hata iphone 5 labda ujailbreak unaweza ukapata app ya 3d lakini sina uhakika hata ukipata itakuwa longolongo. 3d imepitwa na wakati kwenye mobile devices apple iphones wana support Augmented reality technology ambayo inaruhusu kuingiza mazingirayako na kuweka kama pamoja kwenye picha kama kucheza games and directions of streets ipo bomba lakini hakuna apps nyingi zinafikia kiwango cha kutuumia vizuri haka katechnologia. apple wamewaachia 3d kina sumsung wapigenayo makelele it has got no real use first u have to were ridiculous goggles to enjoy.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…