Iphone 3GS

Mnandi

Senior Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
156
Reaction score
28
nauza Iphone 3GS at 350,000/=, ina 16GB Unlocked, ios 4.3.3,,anaehitaji aniPM tufanye biashara

Mi naipenda sana lakini nina hofu kwani cjawahi ku2mia. Ni jana tu nimeinunua NOKIA C7 na nafikiri ngoma ni droo.
 
Watu wa Arusha na iphone zenye scratch,nimekuwa naangalia mara nyingi matangazo ya watu wa Arusha wanaouza hizi I phone wengi husema I phone zao ni nzima tatizo ni kuwa kidogo kioo chake kina scratch hili linanitatiza kidogo,
 
kioo hakina scratch mkuu kilikuwa na screen protector, ukiitumia simu lazima ipate scratches kwenye housing ndio maana nimetoa maelezo ya kutosha kuonyesha hali halisi ya kitu chenyewe,,kama wahitaji kununua si utaona mwenyewe kama inafaa au la',,,
 
Nimekusoma kaka asenti kwa ufafanuzi
 
A success'! thanks all for dropping by',,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ