wakuu nina IPHONE 3G ambayo ni feki ( yani siyo original ). Ina specification zifuatazo.
model ni A124.
internal memory ni 32 GB.
Ina itune.
Internet ni 4G
ina viber
ina camera nzuri sana. ( ila video ndo siyo nzuri )
ina WI-FI
inaangalia video Yootube.
Inaniacha hoi kwenye swala la GAME. Yani inaingiza hadi Game zenye 80MB na kuendelee.
Na applications nyingine nyingi tu. ( ila zingatia kuwa ni ya kichina ila ukiiangalia makolokolo yaliyomo ndani unaweza sema ni Original. ( made in calfonia assemblied in china ). Bei laki na thelathini.
Mbona hiyo ni original kama ni designed in Calfonia and assembled in China ni halisi siyo feki kaka, sisi ndiyo wataalamu wa hayo madude, isikutie hofu neno china mwishoni! Feki zinaandikwa designed in CALFONIA made in USA
mkuu, mbali na kuandikwa hivyo ila bado nahisi hii ni feki tu. Labda mkuu unisadie kitu, nitajuaje kuwa ni orijino? ,maana mi nimeiangalia nimeona kuwa hii ni feki ( imechakachuliwa ),