buyoya419 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 631 Reaction score 512 Jan 16, 2020 #1 Hey nina shida moja kuna rafiki yangu kaibiwa iphone 7 Je, mtu aliyeiba anao uwezo kutoa lock ile ya mbele na akaendelea kuitumia bila kutoa icloud Na je simu ikiwa hajawasha internet ninao uwezo wa kuitafuta kwa icloud au mpaka awashe data on na je ninao uwezo wa kuitafuta kwa imei namba ya simu bila kutumia icloud Sent using Jamii Forums mobile app
Hey nina shida moja kuna rafiki yangu kaibiwa iphone 7 Je, mtu aliyeiba anao uwezo kutoa lock ile ya mbele na akaendelea kuitumia bila kutoa icloud Na je simu ikiwa hajawasha internet ninao uwezo wa kuitafuta kwa icloud au mpaka awashe data on na je ninao uwezo wa kuitafuta kwa imei namba ya simu bila kutumia icloud Sent using Jamii Forums mobile app
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 Jan 16, 2020 #2 Pole mkuu...mbaya zaidi hizo simu skuiz wezi hawana mda wa kuangaika nazo...wanauza spares tu kibingwa maisha yanaendelea Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu...mbaya zaidi hizo simu skuiz wezi hawana mda wa kuangaika nazo...wanauza spares tu kibingwa maisha yanaendelea Sent using Jamii Forums mobile app
buyoya419 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 631 Reaction score 512 Jan 16, 2020 Thread starter #3 ila naomba unisaidie mambo hayo ninaweza nikafanikiwa kcamp said: Pole mkuu...mbaya zaidi hizo simu skuiz wezi hawana mda wa kuangaika nazo...wanauza spares tu kibingwa maisha yanaendelea Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
ila naomba unisaidie mambo hayo ninaweza nikafanikiwa kcamp said: Pole mkuu...mbaya zaidi hizo simu skuiz wezi hawana mda wa kuangaika nazo...wanauza spares tu kibingwa maisha yanaendelea Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Tripp JF-Expert Member Joined Feb 2, 2018 Posts 917 Reaction score 1,607 Jan 17, 2020 #4 Sahau kuhusu yote kama ni iphone_unaijua imei #/email uliyoingiza simu unaipata kiwepesi tu labda waitupe chooni Sent using Jamii Forums mobile app
Sahau kuhusu yote kama ni iphone_unaijua imei #/email uliyoingiza simu unaipata kiwepesi tu labda waitupe chooni Sent using Jamii Forums mobile app
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 Jan 17, 2020 #5 frankie23 said: Sahau kuhusu yote kama ni iphone_unaijua imei #/email uliyoingiza simu unaipata kiwepesi tu labda waitupe chooni Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Labda alieiba atoke sitimbi..ila huku mjin wezi wwnyew wanazijua iphone..kwaiyo hawana muda wakuangaika nazo zaid yakuanza kuuza display na makolokolo yake Sent using Jamii Forums mobile app
frankie23 said: Sahau kuhusu yote kama ni iphone_unaijua imei #/email uliyoingiza simu unaipata kiwepesi tu labda waitupe chooni Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Labda alieiba atoke sitimbi..ila huku mjin wezi wwnyew wanazijua iphone..kwaiyo hawana muda wakuangaika nazo zaid yakuanza kuuza display na makolokolo yake Sent using Jamii Forums mobile app
buyoya419 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 631 Reaction score 512 Jan 17, 2020 Thread starter #6 sasa kama ameizima unawezaje kuipata kwa imei frankie23 said: Sahau kuhusu yote kama ni iphone_unaijua imei #/email uliyoingiza simu unaipata kiwepesi tu labda waitupe chooni Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kama ameizima unawezaje kuipata kwa imei frankie23 said: Sahau kuhusu yote kama ni iphone_unaijua imei #/email uliyoingiza simu unaipata kiwepesi tu labda waitupe chooni Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Tripp JF-Expert Member Joined Feb 2, 2018 Posts 917 Reaction score 1,607 Jan 17, 2020 #7 buyoya419 said: sasa kama ameizima unawezaje kuipata kwa imei Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hawezi kuzima siku zote lazma ataiwasha mkuu kuangalia namna ya kutoa lock nicheki pm zaid Sent using Jamii Forums mobile app
buyoya419 said: sasa kama ameizima unawezaje kuipata kwa imei Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hawezi kuzima siku zote lazma ataiwasha mkuu kuangalia namna ya kutoa lock nicheki pm zaid Sent using Jamii Forums mobile app
SmartCode New Member Joined Jan 16, 2020 Posts 3 Reaction score 22 Jan 17, 2020 #8 Mkuu iPhone kamaataitumia nirahisi kuipata lakini Kama atakua mjanja akaiuza Kama spare ndio ulisha poteza hiyo. Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu iPhone kamaataitumia nirahisi kuipata lakini Kama atakua mjanja akaiuza Kama spare ndio ulisha poteza hiyo. Sent using Jamii Forums mobile app
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 8,119 Reaction score 12,929 Jan 18, 2020 #9 Nadhani majibu yote yakiwepo hapa jukwaani yatasaidia wengi. Binafsi sijawahi kukutana na iphone kwenye mihangaiko yangu. Ni moja kati ya simu ambazo siwezi kushughulikia nikishagundua wewe sio mmiliki
Nadhani majibu yote yakiwepo hapa jukwaani yatasaidia wengi. Binafsi sijawahi kukutana na iphone kwenye mihangaiko yangu. Ni moja kati ya simu ambazo siwezi kushughulikia nikishagundua wewe sio mmiliki