Ipad3 3G musada

Matata25

Senior Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
130
Reaction score
130
Wenye ujuzu na ipad Nina ipad 3 ni unlocked nauliza kama kuna njia ya kutumia android na kupiga cm na kupokea cm bila matatizo.naomba musada wenu please!!!
 
Du unataka kubadli iOS iwe ....."...........nasubiri nione
 
sidhani kama kuna uwezekano wa kubailisha ios hadi android ila tuwasubiri wataalam
 
Wenye ujuzu na ipad Nina ipad 3 ni unlocked nauliza kama kuna njia ya kutumia android na kupiga cm na kupokea cm bila matatizo.naomba musada wenu please!!!
iPad haziSupport call fucntions. Labda kama unataka kupata a feeling of Android from your iPad unaweza kuJailbreak na kuInstal tweak moja hivi inaitwa ''Dreamboard" ila kupiga na kupokea message hautaweza..



 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…