Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 Feb 9, 2015 #1 Ninauza iPad Mini mpya (sijaifungua kwenye box bado). Kama kuna mdau yuko interested tuwasiliane kwa PM. Cash Tshs 650,000 kama mtu anahitaji kuinunua!
Ninauza iPad Mini mpya (sijaifungua kwenye box bado). Kama kuna mdau yuko interested tuwasiliane kwa PM. Cash Tshs 650,000 kama mtu anahitaji kuinunua!
Diplomatic Imunnity JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,179 Reaction score 320 Feb 11, 2015 #2 Kanigini said: Ninauza iPad Mini mpya (sijaifungua kwenye box bado). Kama kuna mdau yuko interested tuwasiliane kwa PM. Cash Tshs 650,000 kama mtu anahitaji kuinunua! Click to expand... mkuu weka picha sio kila mtu anajua unachokisema wengine wananunua kwa kuoana picha pili mambo ya pm watu hawyapendi sana kama mfanya biashara kweli tupia kajimba chako cha kasimu basi
Kanigini said: Ninauza iPad Mini mpya (sijaifungua kwenye box bado). Kama kuna mdau yuko interested tuwasiliane kwa PM. Cash Tshs 650,000 kama mtu anahitaji kuinunua! Click to expand... mkuu weka picha sio kila mtu anajua unachokisema wengine wananunua kwa kuoana picha pili mambo ya pm watu hawyapendi sana kama mfanya biashara kweli tupia kajimba chako cha kasimu basi