Huyo unaesema mwenzangu c ndo mimi.... Hyo ya 360k ilikua ni 16GB hii ni 64GB......afu kama kweli unajua bei za ipad.... 400 moja ya bei za chini u can ever witnessKatoka mwenzako anauza 360k ww waja na 400 bro aru serious?
Pole mkuu.... Ila jkaze uichukueNimeipenda nzuri Ila jpm bado kabana sana
Bro vp mbona hvo lakin hahahaa......,
Karibu..Nakufata pm tubonge
Wifi bossMkuu ni only Wi-Fi au inaruhusu na sim card