Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
kwa ajili ya kazi gani?Wakuu kutokana na technology inavyopiga hatua inabidi kila kiti cha mbunge kiwekwe i pad ili kurahisia kazi za bungeni.
mimi sio msemaji wa bunge ni ushauri tu unaweza kufuatwa au usifuatwe.kama hujui ninachomaanisha nomba usitokwe na mapovu.
Wakuu kutokana na technology inavyopiga hatua inabidi kila kiti cha mbunge kiwekwe i pad ili kurahisia kazi za bungeni.
mimi sio msemaji wa bunge ni ushauri tu unaweza kufuatwa au usifuatwe.kama hujui ninachomaanisha nomba usitokwe na mapovu.
wataweza,hii itawasaidia sana inawezekana wabunge wengi hawajui hata matumizi ya internet ..mbunge mzima na akili zake hawezi kusimama kusema eti mtandao wa jamii ufungwe..huu ni ulimbukeni mkubwa sana inaonyesha jinsi walivyo mbumbumbu...inabidi tuwasaidie wawe updated..wafiche upumbavu wao(sio wote)Maji marefu, rage wataweza kutumia?
ha ha ha ina maana wabunge wetu sio wasomi?Tatizo ya vitu kama hivyo I mean ipad na galaxy vinahijati angalau uwe na uelewa wa Lugha ya kingereza japo kidogo ili uweze kujiachia navyo, na si kukaririshwa kwamba ukitaka kitu fulani bofia hapa, ukiacha hao wazee ambao baadhi ni wasomi wazuri tu ila ukale wao unawazuia kutumia teknolojia mpya kuna wale ambao zaidi ya Elimu ya Msingi hawakuwahi kuitafuta Elimu ya Upili, sasa vitu kama hivyo kutumia itakua ngumu
Wakuu kutokana na technology inavyopiga hatua inabidi kila kiti cha mbunge kiwekwe i pad ili kurahisia kazi za bungeni.
mimi sio msemaji wa bunge ni ushauri tu unaweza kufuatwa au usifuatwe.kama hujui ninachomaanisha nomba usitokwe na mapovu.
wawekewe mashine zinazo-vibrate mbunge anaposinzia ili kuwaamsha magolilla!
yap ni kweli sio lazima wanunue i pad ila wanaweza kununua tablet au hata netbook..sema hawa mafisadi lazima watake kula hapo tena.Kuna haja gani ya kununua ipad za milioni kadhaa akati kuna mini laptops zinauzwa kwa bei nafuu na bado hawazitumii.....naona mtoa hoja anasupport matumizi mabaya ya pesa zetu wananchi.....
Wakuu kutokana na technology inavyopiga hatua inabidi kila kiti cha mbunge kiwekwe i pad ili kurahisia kazi za bungeni.
mimi sio msemaji wa bunge ni ushauri tu unaweza kufuatwa au usifuatwe.kama hujui ninachomaanisha nomba usitokwe na mapovu.
Kaka hao wabunge wameshindwa kutumia laptop itakuwa Ipad kila wakati watuliza keypad wapi au hizo Ipad zije na keypad kabsa na mouse,hebu muulize katibu wa bunge Dr Kashilili,kuna wakati aliwapa wabunge 20 laptop ili waweze kusoma miswaada ya bunge,walipewa mpaka CD ,zilirudi zimemwagiwa kahawa/chai na hata CD hazikurudi tena,huenda wabunge'' vijana ''wa CHADEMA lakini hao wa magamba,watu kama mbunge wa Maswa wamezoea kuongea wataona Ipad zitawachelewesha ,wamezoea kuongea ''kutoka mdomoni moja kwa moja''Wakuu kutokana na technology inavyopiga hatua inabidi kila kiti cha mbunge kiwekwe i pad ili kurahisia kazi za bungeni.
mimi sio msemaji wa bunge ni ushauri tu unaweza kufuatwa au usifuatwe.kama hujui ninachomaanisha nomba usitokwe na mapovu.