Pole si website nzuri information ulizopewa hapo chini ni sahii,hawa jamaa ni kama hackers fulani.Kutokana nasecurity yangu connection inakuwa reset coz si website nzuri.
Mkuu, nikikusimulia ni jinsi gani nimeteseka na hawa jamaa utanionea huruma, lakini namshukuru Mungu hatimaye sasa nawaona kwa macho. Nawashaurini watu wengine pia wasiwe bize na virus tu, kuna malwares na trojan pia zinatesa pc zetu.
Pole si website nzuri information ulizopewa hapo chini ni sahii,hawa jamaa ni kama hackers fulani.Kutokana nasecurity yangu connection inakuwa reset coz si website nzuri.
hawa voxility ni ISP tu kazi yake kuuza server kwa yoyote atakaye. hata wewe kama una mshiko wa maana.... inawezekana muhusika yupo nchi nyengine kabisaaa. hata vpn provider wengi wananunua server kutoka kwao