frankgalos
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 223
- 100
website ya ecommerce ni bei gani ikiwa na full features zake zote pia na apps yake ndugu
Inategemea na features na ukubwa wa project yako na kama nilivo sema wewe ndo boss leta idea yako ifanyiwekazi bei mazungumzo hatuto shndwana kwa hii ofa.
okay nitawatafutaInategemea na features na ukubwa wa project yako na kama nilivo sema wewe ndo boss leta idea yako ifanyiwekazi bei mazungumzo hatuto shndwana kwa hii ofa.
okay nitawatafuta
Unaweza ku code side manu kwenye app ya iOS kwa PL gani mkuu?