Inye ndo habari ya mjini

Joined
Jun 23, 2015
Posts
48
Reaction score
10
ASIKUDANGANYE MTU HAKUNA MWANAUME DUNIANI ASIYEPENDA INYE

Narudi hakuna! Hata wewe ambae ni kimodo na boy wako anakusifia kwelikweli usijishaue ukadhani kwasababu yupo nawewe kimodo basi inye bai bai aah wapi!

Inye Ikipita Hata kama unamiliki inye home lazima ugeuke yaani kama zinasumaku ivi wewe hushangai watu speed yakuweka vigodoro kwenye makalio imekuwa kubwa? Wamegundua vidume na inye dam dam.

Halafu inye hazifanani sasa unaweza kujiona wewe unayo kubwa ukadhani jamaa hawezi chepukia nyingine kuna inye mkusanyiko inye vululu-vululu inye mvurugo.

Inye taslimu inye singida dodoma yaani kama wewe ni mbonyeo basi ikipita mtaani inye vululu-vululu jamaa lazima ageuke kuitamani.

Nitakushangaa we kimbau mbau nyuma umepigwa pasi alafu BF wako anakutambulisha eti inye this is my best friend tangu secondary na wewe ukamini kuna urafiki kati ya mwanaume na inye.

NEVER, INYE HAZIZOELEKI

Weka inye mbali na babe ake itamsomba mzima mzima #UnaionajeHii
 
mimi iyo inye huwanaiitaga makazi ya SHETANI, mi siangaliagi sijui mguu, pua, macho; mimi ni makazi ya SHETANI tu kwenda mbele.
 
Inye skuizi sio dili tena ,, just wastani mambo shwaaaaari ,, sasa limzigo lote hilo la nini!!
Mimi kama nikigeukia kuangalia huwa nawasikitikia mwenye nalo na mwanaume anaye papatikia!!!
 
Kuna jamaa amepata majeraha kwa ajili ya inye vululu vululu. Jamaa alijikuta dakika 10 shingo ameigeuza nyuma hadi anapoteza direction na kuingia kwenye mtaro wa maji. Hakuna jasiri mbele ya Inye, hata wachungaji wakikutana na inye kama si kukemea kwa jina la Yesu pepo pita, na wao wangekuwa wanaingia kwenye mitaro ya maji kila siku. Chezea inye wewe
 
Daaah huku kitaani kwetu tunaita Msambwanda au Goin didlo
 
Last edited by a moderator:
Hivi inye inasaidia nini haswa kwenye issue ya sex?
 
Hivi inye inasaidia nini haswa kwenye issue ya sex?

Inaongeza amsha amsha ya kupenzika na pia Ile ni kama airbag kwenye gari,gari bila airbag ni hatari mkuu itokeapo ajali.
 
Mleta Uzi niibox ur pic nione kama inye yako ni ya viwango
 
Inye mkusanyiko
Inye Vululu-Vululu
Inye mvurugo
Inye taslimu
Inye Singida Dodoma

Mwongozo tafadhali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…