Kipo cha sqmt 1500 kigamboni Mwasonga,kipo barabarani kabisa,barabara ya mwasonga kulekea Pemba mnazi kupitia Dar es salaam zoo.kiwanja kimepimwa kwasasa offer inashughulikiwa.Pia kipo karibu na mradi wa maji wa visima virefu kwa ajili ya mji wa kigamboni.Bei ni 20M
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.