Hata usiprobe sana, utakuwa disapointed.
Lakini anyway: Kufikiria mara moja unajiangalia wewe tu kutimiza mahitaji/matakwa yako bila kujali mwingine.☝
Unapofikiria kitu level ya golden rule unakuwa umefikiri mara mbili.✌
Kufikia mara tatu unakuwa umeuniversalize your principles. Aan umefikiria sio wewe tu ufanye, au ufanyiwe bali kila mtu itafaa aenende hivyo. Jiniazi, god level hii.
Mambo ya carbon footprint ndo yapo levo hizo sasa. Ndo maana nimeappreciate.
Kiufupi ni kwamba mentality, hizo za responsibility kwa vizazi na vizazi inakupa ruhusa ya kuishi mbinguni.
Umeona sasa nishakudisappoint 🤭🤣🤣🤣
To neutralize it basi bro consider heaven to bebjust like some high level civilization imaginable. Basi ndo mnatakiwa watu kama nyie. Ova.