Mimi nina "Mapenzi ya Upofu"
Ila wewe huna "mapenzi ya upofu"
Gari ambayo haijarudishwa kiwandani kwa ubovu unataka kutuaminisha ni unreliable? Kila siku zinaletwa models mpya na zinanunuliwa. Wewe unataka kutuaminisha humu kwamba gari ni mbovu sana.
Mimi nipo upande tofauti na wewe hata kama sinunui hiyo gari ila siwezi kaza shingo kushupalia kwamba gari fulani ni unreliable.
Wabongo tunafahamika tuna ile fear of unknown. Thats because of ignorance, lack of exposure na poverty.
Miaka minne nyuma mtu akiomba ushauri kuhusu Subaru/Nissan, ila aina ya ushauri anaoupata humu unakatisha tamaa. Mara gari mbovu, spare hazipatikani, mafundi hakuna. Ila ukisoma between the line, ni poverty na lack of exposure. Hapo hujaongelea most of brands other than Toyota.
So, back to the point of RR, sijaona unreliability yake, hata hizo LCs zinawajambisha wengi tu mjini hapa.
Kama unataka gari ya kuzamia mtoni au kugonga nayo mawe, nunua trekta maana hakuna gari itavumilia hayo mambo.
Mapenzi, upofu, blah blah blah.In the family tushakuwa na Range Rover ya 1998, na najua since then changes kiasi gaji zimetokea. Na sikuichukia hiyo gari wakati nilipoiendesha. Ila matatizo yake pia nayajua.
Mimi similiki Toyota, na wala sina mapenzi hapa, naongea facts tu. If they are reliable than any other car ni sawa tu whether nazipenda au sizipendi.
Kuwa unreliable siyo lazima kuwe na recalls, inapimwa na matatizo over the course of ownership. Na most of these data come from the owners themselves. Kufunika matatizo yake hakukusaidii wewe wala prospective buyers. Kwanza ni vizuri wasiojua wajue wanataka kumiliki kitu gani (siyo kusema wasimiliki).
Nissan naendesha mpaka leo, Subaru Impreza nilikaa nayo mwaka nikauza, sasa naendesha Suzuki pia, WALA SI TOYOTA. Mtu akitaka ushauri wa hizo gari nampa honestly. RR ni luxury na features kibao ila THEY ARE ONE OF THE LEAST RELIABLE SUVS data na uzoefu vinaonyesha. Hii ni fact sio maoni tu, consumer reports zipo, bahati mbaya unazikataa kwa mapenzi yako na hiyo gari (huku ndo kujitia upofu sasa), unafikiri tunapinga tu. Ukianza kusema reliability ni state of mind, mwenzio akasema inategemea pesa uliyonayo, (huu ni upofu).
Hizi forums ni za kuambiana ukweli, mtu akiwa tofauti siyo lazima awe anaichukia au anataka tu kubishana. Kama una taarifa za kuonyeaha hii gari ni reliable (hasa kuliko LC na LX) leta hapa.
Ila nishaona unabishana tu na huna facts, so stick to what you believe, wanaotaka kuelewa wataelewa, naamini mjadala umesaidia kuwapa taarifa.
Conclusion yangu kwenye huu mjadala, ni kuwa hata kama unazingatia matunzo na unataka one of the most luxurious na prestigious SUVs nunua LR RR ila kama unataka a well balanced and reliable SUV, ambayo utapata matatizo machache wakati unaimiliki, itaenda km zaidi ya 300,000 bila kukaa garage muda mrefu, nunua LC au Lexus.
Adios
Ya kawaida sana. Hahahahaaa[emoji91][emoji91]View attachment 2220250
Mapenzi, upofu, blah blah blah.
RR haipo hata kwenye gari ninazotamani kumiliki. Hata niwe na mabilioni ya kuinunua, haipo hata kwenye top 20 ya gari ninazozi-admire. Looks kinda gaysh.
Ila siwezi angukia kwenye mkumbo wa unreliability ambayo watu mnataka kutuaminisha.
Your terrible experience with RR does't mean it should occur to everyone.
Nunua gari kutokana na matumizi yako, huwezi nunua RR uitumie vile unavyotumia Hilux. Utakuwa huna akili timamu.
RR inauza mno USA,inauza units za kutosha na inazipiga mbali sana hizo LC na LX, hata wazungu wapo wananunua vitu vya mtumba na out of warranty, sasa kama ndio mnatafuta kwenye vi blog online sawa, lakini mkae mkijua RR imetengenezwa kwa watu wa class fulani, kwa nini licha ya hizo -ve feedback bado RR inauzwa sana kwa hao wazungu? LR inajua wateja wake ni kina nani so that, chuma imetengenezwa very very luxury to the point wamesucrifice issue ya maintenance cost kwa sababu once unanunua hio gari it means uta afford.
Kama reliability ndio maana na kigezo pekee ulichoona cha kumiliki gari tafuta humvee, kwa maana hata kwenye milipuko na mashambulizi ya risasi zina uwezo wa ku survive kitu ambacho LC haziwezi.
RR inaipiga LC kwenye kila kitu, gari gani hilo mnaita V8 inalia kama Opa, RR ni gari imara, inapita offroad kuliko LC, ina nguvu, ina spidi, ipo luxury na kila kitu hivyo LC ni uchafu kwa RR nikisema hivyo wajapan mmenielewa.
Kwahiyo LC 200 na Lexus unaweza zitumia kama unavyotumia 70 series?My experience with RR wasn’t terrible, kuweka rekodi sawa.
Nilikuwa tu najaribu kukuambia kuwa siko biased towards brand fulani.
Sifuati mkumbo wa reliability, naongea based on experience za watu dunia nzima (si bongo tu), na si lazima niwe nimemiliki. Hizo taarifa zipo hata wewe ukitaka, ni tafiti siyo story.
Hapa kwenye matumizi ndo umeconclude vizuri sasa nilichokuwa nasema, kumbe umeelewa. RR tumia mjini tu kwenye lami ndo itakuwa afadhali, sio kama wanavyoitangaza hapa.
Kwahiyo LC 200 na Lexus unaweza zitumia kama unavyotumia 70 series?
Duh….hili jibu hili….reliability jamaa humu wanafikiria barabara zetu za Sinza shekilango na Mabibo…mwingine anaongelea snow…..Reliable is relative to need, kwangu mimi kitu cha concern kabisa ni snow. Which RR handles very well.
Huku kama una hela yako unafanya service by the book, huendi off road, unabadili magari huendeshi hilo hilo kila siku, RR itaachaje kuwa reliable?
I just did not like the carbon footprint.
Ngoja nitoe mfano hapa. Sometime back nilitaka kununua SUV VW Touareg JAMAA ZANGU wakaribu bongo hii hii wakaniambia European cars are least reliable. Bongo hiyo gari itakutesa sana Na ushauri mwingi. But I loved the car big time. nikajilipua nikanunua VW machine nzuri kweli kweli from UK. It had less than three years.Achana na story za mauzo, siyo measure pekee ya reliability ya gari. Kuna sababu nyingine nyingi kwa nini watu wananunua gari.
Na umerukia mada hukuelewa point yangu. Issue ilikuwa hiyo gari haiwezi fanya kazi kama wanavyoitangaza hapa na ikawa reliable kama ilivyo LC/LX. Hayo mambo mengine mnaweza kuendelea kujadili, sijayabishia wala sikuyazungumzia.
Naam.Duh….hili jibu hili….reliability jamaa humu wanafikiria barabara zetu za Sinza shekilango na Mabibo…mwingine anaongelea snow…..
Nina classmate alinunua Merc Benz GLE brand new toka CFAO. Yani karatasi amechana mwenyewe. Gari ya Diesel. Kitu 0 km.Ngoja nitoe mfano hapa. Sometime back nilitaka kununua SUV VW Touareg JAMAA ZANGU wakaribu bongo hii hii wakaniambia European cars are least reliable. Bongo hiyo gari itakutesa sana Na ushauri mwingi. But I loved the car big time. nikajilipua nikanunua VW machine nzuri kweli kweli from UK. It had less than three years.
nilifanya nini? Gari nilikaa nayo for four years. Siku zote niliendesha mwenyewe au my trusted driver na nilifanya service CFAO. Hii gari haikuwahi kunisumbua hata Mara moja. Niliendesha sana trips za Dar to Arusha na Mwanza. Ila gari mpaka naiuza haikuwahi kunipa shida.
sasa kwa scenario kama hiyo hapo juu, unreliability inatoka wapi? Mimi naamini unreliability au reliability ni swala la maintenance na utunzaji.
huwezi ukanunua RR unafanya service chini ya mwembe (wengi tunapenda sana kwa Kutumia excuse kwamba fundi ni ex mechanic wa dealer kama CFAO). Lazima gari itakuvuruga tuu. From my experience, ni waTanzania wachache hata wenye pesa walio na utaratibu wa kupeleka gari kwa dealer husika. Very few. Nina jamaa yangu ana RR hapa bongo mpaka leo gari anafanyia service Mbagala kwa fundi mstaafu wa CFAO. Sasa huyu akikwambia RR ni unreliable utabisha?
My few cents.
Hahaha wewe Extrovert mtu wa Toyota.. Unaamini gari kweli kweli ni ngumu.. Haiendi garaje.. Inatumia oil yoyote.. Ila RR Classic haiwezi kufanana na hizi mpya.. New models ni moto zaidi..!Hizi zilikuwa gari kweli mzee sio upuuzi wa kuanzia 1998 na kuendelea.
Ni moto kweli sio za kukimbilia zinaunguza wallet vibayaHahaha wewe Extrovert mtu wa Toyota.. Unaamini gari kweli kweli ni ngumu.. Haiendi garaje.. Inatumia oil yoyote.. Ila RR Classic haiwezi kufanana na hizi mpya.. New models ni moto zaidi..!
Hizo zitabaki enthusiasts cars..!
Sir,I just did not like the carbon footprint.