Haya sasa wakina dada au wakina mama mnaopenda urembo...nawatambulisha kipodozi bora na salama cha macho inatwa Insta-lift eye gel. Kama mnavyojua uzee unaanzia kwenye macho, kwa afya ya macho hichi kipodozi ni salama na muhimu sana
Huondoa uweusi ambao baadhi ya watu wanakuwa nao kwenye macho, kwa wakina mama wanaofanya kazi sana na wanakosa usingizi hadi kupelekea macho kuonekana yana usingizi, hii kipodozi inaondoa muonekano wa usingizi katika macho na kwa dakika 30 tu huondoa wrinkles 40% utaachaje kuwa nayo dukani wewe mfanya biashara wa vipodozi nchi au mpenda urembo?
Nawakaribisha wafanyabiashara wenye maduka ya vipodozi, nauza jumla na rejareja kwa bei nzuri tu kokote nchini...wasiliana nami 0766317197/0693307877
Zipo boss kuna PCC personal care concentration ya kuogea ni nzuri sana na aloe vera gel ya kupaka....uhandsome au kuwa beautiful ni nini unadhani boss hahah kuwa na ngozi inayovutia na hizo zote zinafanya maajabu hayo+ngozi kuwa nzuri inategemea na vyakula, kama unakula matunda na mboga mboga sana lazima ngozi yako ivutid