Wadau wenzangu
Naomba kujua kama kuna mtu anajua kama kuna watu waliishaitwa kazini.Tulifanya Interview za post mbalimbali kwenye organization hiyo mwaka jana mwezi wa kumi 2013,lakini mpaka wa leo..jamaa wako kimya.
Waliadverise Post za wakurugenzi wa Fedha, Policy and Research, Fundraising, HR, IT.
Kama kuna yeyote mwenye taarifa basi atujuze humu kwenye Forum