Interview za MDA’S & LGA’S

Geofrey Banda

New Member
Joined
Apr 15, 2025
Posts
4
Reaction score
6
Wakuu, wale walioitwa kwenye interview za ajira za MDA & LGA kupitia Ajira Portal, mbona wameweka mikoa bila kuweka venue ya kufanyia? Inamaanisha ukifika mkoa husika utafanyia wapi usaili? Kwa anaye fahamu eneo husika, atujulishe.
 
Hawa majamaa wa Utumishi sisi kada za Wizara ya Maliasili (MDA and LGA) wametusahau nini..
 
Mbona walishatoa tangu juzi? Wameweka kwenye pdf. Tazama website ya PSRS na sio ajira portal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…