Huyu jamaa yuko vizuri sana, jameni hata akistaafu itakua muhimu kwa Afrika na dunia kumtafutia kijisehemu aendelee kutumia ubongo wake.
Kwani Kaacha kunywa??
Duh! Dogo kuwa na heshima kwa watu wazima, iko siku utahoji ba mkubwa kama bado anagegeda.
Kunywa pombe (uulevi) ni sawa na kugegeda??
Kila mtu ana starehe zake, kwenu huko nakumbuka mkulu wenu akimshauri kiongozi fulani awe anapiga cha Arusha mara moja moja kitamuwezesha kuwa mkali. Hivyo ina maana mkulu wenu ana uzoefu nacho, haipaswi uwe na mazoea ya kuwahoji wazee wako kuhusu mambo yao binafsi.
Maneno mengi ya nini kama Mtz? -- wewe jibu tu, huyo Muheshimiwa kaacha ulevi wa pombe?Kila mtu ana starehe zake, kwenu huko nakumbuka mkulu wenu akimshauri kiongozi fulani awe anapiga cha Arusha mara moja moja kitamuwezesha kuwa mkali. Hivyo ina maana mkulu wenu ana uzoefu nacho, haipaswi uwe na mazoea ya kuwahoji wazee wako kuhusu mambo yao binafsi.
Hehehe!! Haya nakuacha maana naona ulishapinda kitambo.Maneno mengi ya nini kama Mtz?-- wewe jibu tu, huyo Muheshimiwa kaacha ulevi wa pombe?
Nyie wenu hata kuunda sentensi kwa kiingereza ni taabu tupu. Kazi yake ni kusema tu "the the the the".Kenyatta Anayoyaonge yangekua kweli asee kenya ingekua mbali Sana na anajibu kwa kujiamini...hahaaah tapeli tapeli tu na wanasound balaa
Actually ninamchukia sana Magufuli akitumia maneno ya kiingereza, japo hapa lengo lake lilikua ni kuhakikisha wachina wanasikia.Nyie wenu hata kuunda sentensi kwa kiingereza ni taabu tupu. Kazi yake ni kusema tu "the the the the".
Kingereza kingekua na maana kingemalza wizi na ukora idiotNyie wenu hata kuunda sentensi kwa kiingereza ni taabu tupu. Kazi yake ni kusema tu "the the the the".
[emoji23][emoji23][emoji23]uhuru anatumia kiingereza kwa ufasaha kuwauza.Nyie wenu hata kuunda sentensi kwa kiingereza ni taabu tupu. Kazi yake ni kusema tu "the the the the".
Wewe onyesha faida uliyopata kwa kuzungumza kizunguWewe nini inakuwasha? Ama ni kwa sababu hujui kiingereza ndio maana imekuuma hivyo?
Hizi ndio speech zenye tija kwa Taifa na raia wake, sio hizo lip stick speeches hazina mchango wowote kwa wakenyaInterview ya Magufuli katika CNN![emoji1782]