interview utumishi

jonas2011

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
321
Reaction score
129
Waliowahi fanya interview za utumishi mtujuze maswali huwa yanakuwaje in general i mean multiple choices,explains/briefs/ or...... hasa za IT.....
 
Waliowahi fanya interview za utumishi mtujuze maswali huwa yanakuwaje in general i mean multiple choices,explains/briefs/ or...... hasa za IT.....

UTUMISHI mara nyingi huwa wanatoa maswali ambayo yanahusu professional yako ambapo yapo ktk mfumo wa Explain,Mention,List ,Define,state,. so kwa maandalizi ili ufaulu soma sana kuhusu Proffesional yako tu na hasa mambo muhimu ambayo yanakua applicable kwenye kazi.Mara nyingi maswali huwa yanakua matano kwa muda wa 1:30 au one hour.eg. The most challenges facing IT in tanzania is theft of Data,if you are an IT officer what are the measures you will take to advice the management to overcome these challenges.Ok, mm ni muhasibu bwana ila nimekupa tu muongozo, wala sio IT officer au Hr. But i wish you all the Best and Pray for me while remember me
 
kaka huwa wanauliza maswali ya kawaida ya kuexplain, mention kuhusu ishu yenyewe eg what is research, explain types of reseach, what do yo understand by randow sampling, mention types of sampling..etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…