J jembe12 Member Joined Oct 18, 2012 Posts 58 Reaction score 7 Feb 25, 2013 #1 Wakuu nimeitwa interv ya accountant grade 11 utumishi yoyote aliye udhuria whriten za uhasibu utumish natanguliza shukrani zenu
Wakuu nimeitwa interv ya accountant grade 11 utumishi yoyote aliye udhuria whriten za uhasibu utumish natanguliza shukrani zenu
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,959 Feb 25, 2013 #2 jembe12 said: Wakuu nimeitwa interv ya accountant grade 11 utumishi yoyote aliye udhuria whriten za uhasibu utumish natanguliza shukrani zenu Click to expand... Inawezekana ulichokusudia kukiandi na ulichoandika vikawa vitu viwili tofauti kabisa. Edit basi ili tukuelewe na tuweze kukusaidia tukiweza
jembe12 said: Wakuu nimeitwa interv ya accountant grade 11 utumishi yoyote aliye udhuria whriten za uhasibu utumish natanguliza shukrani zenu Click to expand... Inawezekana ulichokusudia kukiandi na ulichoandika vikawa vitu viwili tofauti kabisa. Edit basi ili tukuelewe na tuweze kukusaidia tukiweza
M manushiboy Member Joined Aug 3, 2011 Posts 34 Reaction score 9 Feb 25, 2013 #3 dhumuni ni nini? kuhusu mada yako? unataka kudeseshwa au kajaribu bahati pitia vitu vyote ulivyosoma kwenye uhasibu utafanikiwa
dhumuni ni nini? kuhusu mada yako? unataka kudeseshwa au kajaribu bahati pitia vitu vyote ulivyosoma kwenye uhasibu utafanikiwa
J jembe12 Member Joined Oct 18, 2012 Posts 58 Reaction score 7 Feb 25, 2013 Thread starter #4 Wakuu dhumuni nikujua wanatoa mambo gani kwenye pepa zao za written kwa wale walio kwisha fanya watupe mwongozo
Wakuu dhumuni nikujua wanatoa mambo gani kwenye pepa zao za written kwa wale walio kwisha fanya watupe mwongozo