Kuna wale wa constebo na koplo ambao wamekwisha anza interview na interview zao bado zinaendelea, hebu tupeni mwanga jamani wanafanyaje huko baraza la maaskofu ili nasi tujiandae taifa?
Mbio zimenishinda Mungu anisaidie next time nipige kwanza mazoezi tatizo sina mazoezi ya kutosha.
Zikitoka tena nitajitahidi niwe na mazoezi ya kutosha.