Wana Jamii..
Kama kuna mtu yeyote ambaye alishawahi kufanya interview ya tutorial assistant utumishi kwenye masomo ya ICT, Maswali ya Oral and Written huwa yanakuaje, huwa wanauliza nini sanasana?
Wana Jamii..
Kama kuna mtu yeyote ambaye alishawahi kufanya interview ya tutorial assistant utumishi kwenye masomo ya ICT, Maswali ya Oral and Written huwa yanakuaje, huwa wanauliza nini sanasana?
Me nilifanya interview za field ya IT but haikuwa tutorial assintant...kwa uzoefu niliona hao jamaa wanauliza maswali purely yanayoendana na kazi ulioomba na sio shallow yanakuwa a bit deep...so nakushauri pitia in deep hicho utakaechoenda kukifundisha kama n programming basi go deep..n hyo tuu mdau..