fursa zipo nyingi sana, kuna uwindaji pale katavi national park, kuna machombo ya dhahabu eneo moja linaitwa magamba, kuna kilimo cha mpunga eneo la maji moto karibia na kwa akina pinda mizengo kayanza.na zaidi usafiri ni wa kuosha sana maana kuna treni ya mpaka tabora kutokea mpanda na pia barabara ni ya lami tokea mpanda mpaka dar es salaam kwa kupitia sumbawanga na mbeya