O oleoju Member Joined Jul 28, 2014 Posts 66 Reaction score 8 Jan 29, 2015 #1 Habari wanajamvi,nimeitwa kwenye interview na SIDO itakayofanyka tarehe 7/2/2015,kwa mwenye idea ya maswali wanaouliza hawa watu naomba mnisaidie wadau natanguliza shukran zangu kwenu asante.
Habari wanajamvi,nimeitwa kwenye interview na SIDO itakayofanyka tarehe 7/2/2015,kwa mwenye idea ya maswali wanaouliza hawa watu naomba mnisaidie wadau natanguliza shukran zangu kwenu asante.
m2kutu Senior Member Joined Apr 5, 2014 Posts 125 Reaction score 101 Jan 29, 2015 #2 Jiandandae kwa ajili ya aptitude test, soma na uijue vizuri hiyo organization(SIDO), na pia jiandae kwa ajili ya maswali yanayohusu professional yako.
Jiandandae kwa ajili ya aptitude test, soma na uijue vizuri hiyo organization(SIDO), na pia jiandae kwa ajili ya maswali yanayohusu professional yako.
m2kutu Senior Member Joined Apr 5, 2014 Posts 125 Reaction score 101 Jan 29, 2015 #3 hayo niliyoandika hapo juu ni kwa ajili ya written interview, sasa siju wewe umeitwa ipi maana hujawa specific.
hayo niliyoandika hapo juu ni kwa ajili ya written interview, sasa siju wewe umeitwa ipi maana hujawa specific.
O oleoju Member Joined Jul 28, 2014 Posts 66 Reaction score 8 Jan 30, 2015 Thread starter #4 nimeitwa kwa ajili ya writen interview itakayofanyka CBE next week
20162016 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 206 Reaction score 96 Feb 1, 2015 #5 Na mimi niliapply ila sijaitwa, walikupigia simu au wamebandika majina? au km kuna link yeyote waliyoweka majina plz tuhabarishe tujiangalie
Na mimi niliapply ila sijaitwa, walikupigia simu au wamebandika majina? au km kuna link yeyote waliyoweka majina plz tuhabarishe tujiangalie
C crucial Member Joined Jan 24, 2013 Posts 30 Reaction score 2 Feb 2, 2015 #6 wameweka kny webu yao mkuu.wametoa majina hawajapga cm
O oleoju Member Joined Jul 28, 2014 Posts 66 Reaction score 8 Feb 2, 2015 Thread starter #7 tembelea website yao mkuu