Habari zenu wandugu? Nikwamba nimeitwa interview kampuni ya smile katika position ya executive sales manager! Lakini cha kushangaza sikuwahi tuma CV yangu pale Sasa nashindwa elewa je ni magumashi au vp? Na interview inafanyika ijumaa kwenye jengo ambalo wame lease pale karibu na makao makuu ya zantel